Wednesday, February 29, 2012

uwezekano wa kuandika hapa....

bado naendelea kuangalia uewzekano wa kutoa link ambayo mtu yeyote anaweza akaandika na kuweka au kupost kitu chochote.
hii nitaiweka kwa majaribio na pia kupima ustaarabu wa watu na ikitokea kua watu wamekua sio wastaarabu basi utaratibu huo tutautoa.
Hii itafanyika ili kurahisisha upatikanaji wa habari nyingi paspo kuwepo na mwandishi sehemu hiyo.