Mh Barnabas Mwangi Rais wa serikari ya muso mbeya campus nyuma alieambatana nae ni makamu wa rais aliyekua na tabasam pana la ushindi
MH. MOMBURY, NEMES MICHAEL-WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA MZUMBE CAMPUS YA MBEYA
hapa juu ni viongozi wa chuo aliyevaa kaunda suti ya kijivu ndio mkuu wa chuo cha mzumbe mbeya campus dr ERNEST akiwa ameambatana na dean of student kulia kushoto ni rais wa serikari ya wanafunzi anaemaliza muda wake ndg NUHU SULEIMAN pamoja na kamishna wa viapo mwenye tai kwa nyuma
hapa ni sehemu ya watu baadhi waliojitokeza kuhudhulia dhifa ya kuapishwa kwa viongozi.
kwa habari zaidi na picha bofya hapa
No comments:
Post a Comment