huyu ni aliyekua mgombea mwenza wa Ponera(katikati) aikande lema kulia ni kissa na kushoto ni miriam
hapa ni mr Ponera aliyekua anagombea urais na brother or kaka yake mwenye suti nyeupe anaitwa Abdul Ponera
ILIKUA NI FULL SHANGWE MPAKA KIELEWEKE HAPA ILIKUA NI MLANGONI KABLA WAGOMBEA HAWAJAINGIA NDANI UANZA KUPIGA CAMPEIN RASIM
MABANGO YALIHUSIKA PIA KAMA HIVI VIJANA HAWATAKI SIASA ZA MAKUNDI TENA
KIJANA SAM AKIULIZA SWALI KWA MGOMBEA AMBAYE HAYUPO PICHANI ILIKUJIHAKIKISHIA KAMA KERO YAKE ITAONDOKA HII NI SIKU YA CAMPEN
HAPA NI NDANI YA UKUMBI WA NLT SIKU YA CAMPEN WATU WALIKUA WAMEJAA KUSUBIRI KUSIKIA SERA ZA WAGOMBEA MBALIMBALI WAKIJINADI
HUKO NJE WASHABIKI WA WAGOMBEA MBALIMBALI WAKIIMBA NGONJERA NA MAPAMBIO HUKU WAKICHEZA KWA MNAAJIRI YA KUWANADI WAGOMBEA WAO
KIJANA MAARUFU KWA JINA LA LOYER LOYER AKIULIZA PIA SWALI KATIKA MHADHARA HUU
KIJANA MICK PIA HAKUWA NYUMA HAPA AKIWA NA BANGO
MATARUMBETA PIA YALIHUSIKA
WATU WALIKUA KATIKA VIKUNDI MBALIMBALI WAKIJADILIANA MSTAKABALI MZIMA WA UCHAGUZI NA CAMPEN UTAKUAJE
HAPA NI MGOMBE PONERA AKIWA NA WAFUASI WAKE WAKIAANDAMA KWENDA KWENYE MIKUTANO YAO YA CAMPEN
HIZI KAMPEN ILIKUA ILIMGOMBE WAKO ASHINDE HUWEZI KUTEMBE