Hapa niwakati mwalimu Omary akiingia mahari hapo watu wakimshangilia yeye pia akiwapungia mikono na kupiga makofi
huyu ndie makamu wa Rais
Hapa mataji kama haya pia yalihusika maana watu walikua hawaamini kama wamepewa nyazifa kubwa haahahaahahahaah
Viongozi mbalimbali wakiwa pamoja na rais kwa picha ya ukumbusho
hawa jamaa ndio walikua wanakabidhi madaraka iseee inauma lakini tunavumilia tu na tabasamu kidogo japo tunapongezana
huyu jamaa anaitwa kisaka hapa alikua anasubiri kuapishwa kutumikia serikali
makabidhiano yote yalikua yanafanyika hapa hapa ndo maana hata runinga yetu ya DSTV ilibidi ihusike kuja
daaaaaaahhhh kua kiongozi rahaaa asikwambie mtu haap rais akiwapungia watu wakati akiingia ukumbini hapa watu pungaaaaaaaaaaaaaaaa
hapa viongozi mbalimbal na mawazii waandamizi wakiwa pamoja mda mchache baada ya kuapishwa
ilimbidi tu ndg yetu Nuhu akabidhi uongozi na hapa ndio anatangaza rasmi kuvunja serikali yake
aliyekua waziri wa habari ndg afidh akiwa katika poz
hawa wote ni baadhi ya wateule walioteuliwa na Rais katika wizara mbalimbali
huyu ni alfa waziri wa Michezo anaemaliza muda wake
hapa Rais akiondoka na mkuu wa chuo Dr ERNEST
YEAH we mean peace and love ndo tunamaliza muda wetu hivo pembeni ya huyo dada jamaa anaitwa musa alijaribu hizi mbio japo bahati haikua yake
Baraka mmoja wa mawaziri wa bwana mwangi