hapa matukio yote utayapata katika picha
Awari ilipakwa shughuli hii kufanyika mzunmbe garden lakin kutoka na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo wa waandaaji ilibidi ihamie sehemu nyingine
mada mbalimbali ziliibuka na kuziongelea na baadhi yazo zilikua nissue ya kifo cha kanumba
kama hapa watu wako makini baada ya ya hiyo issue kuibuka
hapa nipale alipotakiwa kila mmoja kujitambulisha hivi