Wednesday, May 9, 2012

Rais wa serikali ya wanafunzi mzumbe campus ya mbeya aapishwa rasmi....

Shughuli nzima ya kuapishwa kwa serikali ya wanafunzi imefanyika leo katika viunga vya court yard hapa mzumbe mbeya.
Pamoja na hayo mh BARNABASI MWANGI  alitumia wasaa huo pia kulianika baraza lake la mawaziri na pia walia pishwa  na baada y  hapo kutoa hotua yake y kwanza kama rais.

KWA HABARI ZAIDI ZA TUKIO ZIMA NA PICHA ZA MATUKIO SOON ZITAKUA HAPA
Hapa ni wakati mawaziri na viongozi wengine waandamizi wa serikari  wakiapishwa


hapa ni wakati jopo la mgeni rasmi mkuu wa chuo dr Elnest, kamshina wa viapo,dean of student na wageni wengine waalikwa wakiingia mahari hapo kwaajiri ya shughuli hiyo

No comments:

Post a Comment