uchunguzi mdogo uliofanyika wakati huu ambao boom limechelewa na maisha kua magumu zaidi. wali maharage ndio kimekua chakula kikuu zaidi wakati huu, pamoja na hayo pia upigaji wa pass ndefu pia umekua mwingi huku wengine wakishindia matunda tu......
ukiachia hiyo pia karibu kila mgahawa ambao wadau wanatumia hivi sasa kuna vijidafutari vingi vya kusaini sio kwamama eric wala kantini na sehemu nyingine hii inaonyesha dhahiri tunakura kwa style ya NIFADHIRI ZENI NTAKUTOA ZIKIJA
Wakati huu wote bata zimepungua saaaaana kutoka kwenye uchafuzi wa meza mpaka kwenye moja moja zenye mpangilio mzuri mezani
HIKI NDICHO KINACHOJIRI HAPA MZUMBE
Kaka kwa style hiyo atazikwa mtu mzima mzima...maisha bila dubai hayaendi kabisa
ReplyDelete