Thursday, May 31, 2012

Mpendwa wetu anaumwa..........

Aliyekua katibu mkuu wa serikari iliyomaliza muda wake dada yetu ESTER MPANGA ni mgonjwa na amelazwa katika hospital ya rufaa. pamoja na hayo amejifungua na kwa bahati mbaya mtoto kafariki  dunia.Aitha waziri wa affiliation amewaomba watu wote tuungane kwa kumfariji na kwanjia nyingine yoyte katika kipindi hiki kigumu kwake
Hapa akipokea cheti  kwa kuitumikia muso 

 Hapa akiwa pamoja n mawaziri waandamizi wa serikali aliyofanya nayo kazi hapo ndani (aliyevaanguo ya blue ktk kiduara chekundu)
watanzania sote ni ndugu tuwepamoja mungu msaidie ESTER

No comments:

Post a Comment