Monday, May 7, 2012

HABARI YA UCHAGUZI BANA....

Uchaguzi ulikuja na mbwembwe mbali mbali za wagombea mbalimbali katika ngazi ya Rais wa serikali ya wanafunzi,wawakilishi wa vitivopamoja na wawakilishi wa madarasa.
Rakini mpaka mwisho katika kiti cha uraisi bahati ilikua ya MWANGI ambae alishinda kwa ushindi wa kimbunga akiwa na kura zisizopungua 300 akifuatiwa na PONELA nafai ya tatu ilienda kwa MTATINA nA mwisho alikua MUSSA aliyekua waziri wa affiliation katika serikari iliyomaliza muda wake ambae aliambulia kura 70 tu

 hapa ni baadhi ya matukio ya uchaguzi katika picha

 Hapa ni mh MUSSA akimwaga sera zake


 Hapa watu wakiwa na furaha tele katika moja ya campen


 Hapa iikua ni kampen mwanzo mwisho mpaka kieleweke


 HAPA NI WAGOMBEA WA KITI CHA  URAIS WAKISUBIRI KABLA YA KUANZA CAMPEN


HAPA ILIKUA ni full burudani tu ilimradi watu ni kujitoa fahamu tu kwaajiri ya kampen

kwa picha zaidi za uchaguzi na vituko vyake bofya hapa

No comments:

Post a Comment