pamoja na hayo kulikua na mziki wa nguvu uliohusika hapo ndani na pia bado watu walijidabika kwenye maji hivi pamoja na baridi la mbeya siunajua mambo ya kujiachi na gentleman has no wether
baathi ya wadau wakiwa wamejiachi kwa pozi siku hiyo
red carpet pia ilihusika kimtindo kila mtu aligonga picha hapa kama unavyowaona wakaka hapa
wadada pia walifunika kama hivi unavyowaona hapa
kwa habari zaidi na picha zaidi kuhusu kilivyotokea siku hiyo soon zitakua hapa just wait
No comments:
Post a Comment