Wednesday, June 13, 2012

TAARIFA YA MUSIBA WA MWENZETU......

Mwanafunzi mwenzetu anaefanya kozi ya sheria mwaka wa kwanza SAMSONI TURUKA amefiwa na babaake mzazi  na ameondoka jaan kuelekea nyumbani songea.
Ndugu jamaa na marafiki tuwekaribu na ndugu yetu samson tukimfariji  na kumtia moyo katika kipindi hiki kigumu
ndg samson turuka

UONGOZI WA MUSOSANA UNATOA SALAMU ZA POLE  KWA SAMSONI PAMOJA NA FAMILIA YAKE YOTE KWA KUONDOKEWA NA MPENDWA WAO
NA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI
AMEN

No comments:

Post a Comment