BAADA YA UCHAGUZI KUISHI WACHAMBUZI WA MAMBO YA KISIASA WALIKAA NA JICHO LAO LILIONA HAYA YAFUATAYO
RAIS MTEULE TOFIPHIL
AMESHINDA KUA RAIS LAKIN ALITOA NUKUU AMBAYO ILIWASHANGAZA WENGI BAADA YA KUSEMA "FREEDOM IS COMING TOMMOROW " KANA KWAMBA WANAFUNZI NI WAFUNGWA SASA YEYE ANAWALETEA UKOMBOZI KAAAAAAZI KWELI KWELI
PONERA MGOMBEA URAIS
PONERA NDIO MGOMBEA PEKEE ALIYEONEKANA KUA NA UWEZO MKUBWA WA KUJIBU MASWALI AMBAO ULIWASHANGAZA WENGE NA WAMEKILI HILO
SOPHIA ,WOMEN REPRESENTATIVE
HUYU NDIE MGOMBEA PEKEE AMBAE YEYE ALISHINDANA NA KIVULI MAANA KWENYE NAFASI YAKE YEYE PEKEE NDIO ALIJITOKEZA KUGOMBEA
NDUGU YETU HUYU ALIONYESHA DHAHIRI JINSI AMBAVYO KIZUNGU BADO NI WITO KWA WATU WENGI BAADA YA KUTUPIA THE THE THE NYINGI HATA ZAIDI YA SERA
NDEGE, SECOND BOARD REPRESENTATIVE
NDIO MGOMBEA PEKEE AMBAE ALIBEBWA NA EXPIRIENCE YAKE YA NYUMA
MICHAEL JOHN MALELE
HUYU NDIO ALITOA HOTUBA VIZURI KULIKO WOTE POPOTE ALIPOENDA KUFANYA KAMPEN