RAIS MTEULE TEOPHIL pamoja na Ndg DASTAN wakiteta jambo
kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na ndugu dastan na wenzake dhidi ya ushindi wa Teophil imetupiliwa mbali na kinachofuata sasa ni kuapishwa kwa ndugu Teophil kama mshindi wa kiti cha urais
No comments:
Post a Comment