Thursday, March 29, 2012

mkuu wa chuo aongea na wanachuo............

Leo hii asubuhi majira ya saa 5 asubuhi mkuu wa chuo akiambatana na makamu wake  na rais wa wanafunzi amefanya mkutano wa kuwakaribisha wanachuo katika semester hii ya pili ya masomo.
Miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na kuw ruhusu wale waliokuja na ada ambayo haijatimia kusajiriwa huku wakiandika barua za maelezo na kua watamalizia lini madeni yao. 
pamoja na hayo ameonesha kusikitishwa sana na matokeo  ya mitihan ya semester ya kwanza ambayo kimsingi sio mazuri. Aitha ameomba kama kuna kero yoyote ifikishwe kwa rais wawanachuo iliaipeleke kwake na kufanyiwa utatuzi

Tuesday, March 20, 2012

BACK 2 SCUL........

Hii ni week ya pili tangu chuo kimefunguliwa na masomo ndo sana yanaanza anza...
japo sio kivile sana wakati huo huo, usajiri unaendelea wanasema mwisho week hii na kwa wale wenye sup na disco mwisho wa kukataa rufaa ni tarehe 22 ya mwezi huu kwa gharama ya 10,000 tu.
Kwa muhitasari hayo ndio yanayotokea hapa chuoni.....