Leo hii asubuhi majira ya saa 5 asubuhi mkuu wa chuo akiambatana na makamu wake na rais wa wanafunzi amefanya mkutano wa kuwakaribisha wanachuo katika semester hii ya pili ya masomo.
Miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na kuw ruhusu wale waliokuja na ada ambayo haijatimia kusajiriwa huku wakiandika barua za maelezo na kua watamalizia lini madeni yao.
pamoja na hayo ameonesha kusikitishwa sana na matokeo ya mitihan ya semester ya kwanza ambayo kimsingi sio mazuri. Aitha ameomba kama kuna kero yoyote ifikishwe kwa rais wawanachuo iliaipeleke kwake na kufanyiwa utatuzi
No comments:
Post a Comment