Tuesday, April 10, 2012

mkesha wa pasaka ucheki hapa na baadhi ya wadau.............

hapa ni picha ya baadhi ya wadau waliuokutana kwaajiri ya mkesha pasaka wakiwa katika pozi tofauti tofauti 

hapa nni baada ya kujipatia chakula chao kidogo na kuamua kupouse kidogo kwa picha kabla ya kuanza kushusha vyombo

Mheshimiwa sana fuculty representative wa LLB na msanii mkubwa wa hapa mjini YOGA BOGA alikuwepo pia na hapa alikua anongea mawili matatu kuhusu kazi zake za mziki na majukumu yake aliyopewa kama F.R

baadhi ya wadau waliokuwepo mahara hapo kwaajiri ya mkesha wa pasaka wakiwa  katika pozi la pamoja na kutengeneza kumbukumbu

hapa ilikua zamu ya CLASS REPRESENTATIVE wa LLB  i akisema kidogo na kutoa  maelekezoo kidogo ambapo pia ndio alikua na majukumu ya kuendesha shughuli hiyo anaitwa michael wengi wanamuita tata
Kwa habari na picha zaidi  za mkesha huu ofya hapa bofya hapa

No comments:

Post a Comment