Hii ni week ya pili tangu chuo kimefunguliwa na masomo ndo sana yanaanza anza...
japo sio kivile sana wakati huo huo, usajiri unaendelea wanasema mwisho week hii na kwa wale wenye sup na disco mwisho wa kukataa rufaa ni tarehe 22 ya mwezi huu kwa gharama ya 10,000 tu.Kwa muhitasari hayo ndio yanayotokea hapa chuoni.....
No comments:
Post a Comment