Monday, April 16, 2012

fukuto la uchaguzi la viongozi wa muso........

Fukuto la uchaguzi lilimeendelea kuwa kubwa zaidi pale baadhi ya watu walipojitokeza kutangaza nia rasmi nia  ya kugombea katika nyazifa tofauti.
Hii imejitokeza leo katika darasa la sheria mwaka wa kwanza ambapo Ndugu MUTATINA ( MUTA) alipotangaza rasimi kugombea urais .Pamoja na muta mwingine alieonyesha nia ya kugombe ni AMOS aliyetangaza kwamba atagombe nafasi ya ukuu wa wawakilishi wa vitivo (second board representative)
Rais wa muso Nuhu Suleiman
Hao wamekua ni watu waawali kabisda kuonyesha nia ya kugombea baada ya  hapo jana rais anaemaliza muda wake Mh NUHU SULEIMAN kuvunja baraza la mawazili na bunge

No comments:

Post a Comment