Saturday, April 14, 2012

llb i na llb ii watoana suruhu..

Mapema leo jion kulikua  na mechi kubwa ya kirafiki kati ya wanasheria wa mwaka wa kwanza na maalwatani wa mwaka wapili iliyofanyika katika uwanja wa sangu.Mpaka mwisho wa mchezo walitoka sale ya kufungana bao moja kwa moja.Pamoja na hivyo mapema LLB II ndio walikua wa kwanza kupata bao lakini vijana wa LLB I Walisawazisha katika kipindi hicho cha kwanza lakini katika hari ya kushangaza LLB II walilikata bao hilo huku wakitishia kungoa na kuondoka na lango lao kitu kilichosababisha kusimama kwa mpira takribani dakika 15. bada ya hapo mpira uliendelea na bado  vijana wa LLB I waliweza kusawazisha na mpaka mwisho wa mpira mabao ilikua 1-1

No comments:

Post a Comment