Saturday, April 14, 2012

tarifa ya uchaguzi..

wizara ya katiba na sheria imetangaza mchakato wa kupata serikari mpya ya wanafunzi kuanza mchakato hu tarehe 13/04/2012 na kuhitimisha tarehe 26/04/2012.
Taarifa hiyo imesambazwa katika mbao mbalimbali za matangazo ikionyesha jinsi mchakato mzima utakavyoenda ikawa ni pamoja na uchukuaji form za wagombe na siku za kuludisha.
Mpaka sasa hakuna mtu aliyejitokeza kuonyesha nia ya kugombea uongozi japo kuna watu ambao mpaka sasa wamekua midomon mwa watu ikisemekiana kua wanaweza kugombea.

No comments:

Post a Comment