Tuesday, June 19, 2012

pool party ndo hivyo isha happen....

pamoja na hayo  kulikua na mziki wa nguvu uliohusika hapo ndani na pia bado watu walijidabika kwenye maji hivi pamoja na baridi la mbeya siunajua mambo ya kujiachi na gentleman has no wether
 
 baathi ya wadau wakiwa wamejiachi kwa pozi siku hiyo


 red carpet pia ilihusika kimtindo  kila mtu aligonga picha hapa kama unavyowaona wakaka hapa


wadada pia walifunika kama hivi unavyowaona hapa
kwa habari zaidi na picha zaidi  kuhusu kilivyotokea siku hiyo soon zitakua hapa just wait

Thursday, June 14, 2012

pool partyyyyy baby 

dont dare to miss it bana 

i will be there too then story zote pia zitakua hapa 

mapicha yote ya red carpet zitakua hapa pia

u  know wat tunakaribia mitihan so niwakati mzuri wa kurefresh maindi iliuingie kwenye mitihani  ukiwa shwaaar

hebu tupia kesho tuone haahahaahaaha

Wednesday, June 13, 2012

TAARIFA YA MUSIBA WA MWENZETU......

Mwanafunzi mwenzetu anaefanya kozi ya sheria mwaka wa kwanza SAMSONI TURUKA amefiwa na babaake mzazi  na ameondoka jaan kuelekea nyumbani songea.
Ndugu jamaa na marafiki tuwekaribu na ndugu yetu samson tukimfariji  na kumtia moyo katika kipindi hiki kigumu
ndg samson turuka

UONGOZI WA MUSOSANA UNATOA SALAMU ZA POLE  KWA SAMSONI PAMOJA NA FAMILIA YAKE YOTE KWA KUONDOKEWA NA MPENDWA WAO
NA MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI
AMEN

Tuesday, June 12, 2012

TAARIFAA......

BLOG IS UNDER CONSTRACTION 

SORRY FOR ANY CONVINIENCE

BY BLOGGER.

POOL PARTY

THE MONEY TEAM 


Presents POOL PARTY 
ndani ya JM Motel, Tar 15th June 2012,,


 this for Ladies & Gents  

please we wanna get ur Appearance at the party,,,
 
mambo yatakayo kuwepo
REDCAPERTY,
FREE COCKTAIL
(RECIPES&PINA COLADA)
other Drinks,BBQ,PHOTOS,
PARTY MUSIC,
SWIMMING POOL... 
 
5000 tsh for a Single and 7000 tsh for the Couples,..
 
PARTY ITAANZA SAA 12:00 JIONI MPAKA USIKU MKUBWA.... 

NB: 10,000 kwa getini tafadhali ticket ni chache nunua mapema, 

dresin code;TUVAE MAVAZI  KUUALaugh 


Tickets zina patikana kwa wafuatao.
BLOCK A 31,Detha.
BLOCK B 09 Shafii,
BLOCK C 09 Mariam..
posted by TMT
Smile