Friday, December 21, 2012

MASIKI VICHANGA HIVI VIMETEKELEZWA JALALANI


Htukio hili limetokea jana katika jalala moja ambalo liko nyuma ya chuo karibia na mgahawa wa mama land. INASIKITISHA SANA lakini baadae police walikuja na kuvichukua vichanga hivyo ambapo haikujulikana ni nani aliyefanya unyama huo

majirani zetu


Kiumbe wa ajabu azaliwa Mbeya..ni kitoto macho yake yako katikati ya paji la Uso hana Pua ila ana mdomo..!!!

Kiumbe wa ajabu azaliwa Mbeya..ni kitoto macho yake yako katikati ya paji la Uso hana Pua ila ana mdomo..!!!

picha na BRAND

DAKTARI WA RUFAA MBEYA ATIWA MBARONI KWA MADAI YA KUPOKEA RUSHWA

DAKTARI wa kitengo cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mbeya,Paul Kisabi (32), amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya, akikabiliwa na mashitaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi 100,000 kutoka kwa mgonjwa aliyefikishwa Hospitalini hapo baada ya kupata ajali.


Hatua hiyo imekuja baada ya Taasisi ya kuzui na Kuipambana na rushwa nchini takukuru, kumtia mbaroni daktari huyo juzi kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kiasi hicho cha fedha baada ya kumuwekea mtego.
Daktari huyo Kisabi amepandishwa kizimbani  majira ya saa 3:45 na kusomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Mbeya, Fransis Kishenyi, aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo ambayo imeibua hisia kali kwa wananchi.
Katika kesi hiyo namba 237 ya mwaka 2012, upande wa mashitaka uliongozwa na waendesha mashita wawili wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU), Joseph Mulebya na Nimrod

Thursday, December 20, 2012

musosana wishing you happy holdayz


try this

best friends week,got this for you dears

Theory Of Life..

 No one is ever busy in his/her life.Its all about Priorities.

Love doesn't start in morning & doesn't end in evening.
It starts wen U dn't need it & it ends wen U need it most.

Tears dn't come wen U miss A person Bt they come wen U dn't want to miss a person.

Never raise U'r voice just improve the Quality of U'r argument.

Life is much like Facebook,People will like U'r problems & coments but no 1 gona solve them.
Because everybody seems so busy in updating their own status.

U regularly texts U'r friends they dn't reply u,But if U text frm new no: Everyone will reply that Who r'u ??? People have time for unknown bt n't for known This is theory of Life..
It's World Best Friends Week' Send this to all your good friends.                               
you all are my good friends and well u deserve this

you

you
once told me forever
we'd be,
but came to find out
you lied to me,
all your intention were untrue
i am a fool for giving my heart to u.

u played wit me like a doll
u tossed my heart like a ball
you made me believe
what we had would last
but you sure took off pretty fast

you dont know what love is
you dont know what caring is
all your love goes into how u look
but all the love that i gave  u,
u just took

reality

check this out its the truth

Wednesday, December 19, 2012

TAARIFA MAALUM

Kutokana na tatizo lililo nje ya uwezo wetu na kamera yetu kuchelewa hivi .Tunaomba ladhi kwa wakati huu wote ambao blog ilikua kama imesimama kidogo .
Tunatumaini kua kuanzia sasa kila kitu utakua unakipata hapa.
STAFF NZIMA YA MUSOSANA INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA NA CHRISSMAS NJEMA