Aliyekua katibu mkuu wa serikari iliyomaliza muda wake dada yetu ESTER MPANGA ni mgonjwa na amelazwa katika hospital ya rufaa. pamoja na hayo amejifungua na kwa bahati mbaya mtoto kafariki dunia.Aitha waziri wa affiliation amewaomba watu wote tuungane kwa kumfariji na kwanjia nyingine yoyte katika kipindi hiki kigumu kwake
Hapa akipokea cheti kwa kuitumikia muso
Hapa akiwa pamoja n mawaziri waandamizi wa serikali aliyofanya nayo kazi hapo ndani (aliyevaanguo ya blue ktk kiduara chekundu)
watanzania sote ni ndugu tuwepamoja mungu msaidie ESTER